Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa tuzo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Tekinolojia ya Habari, Dk. Ashatu Kijaji kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ametunukiwa kwa kutambua mchango wake katika kukuza sekta ya TEHAMA Nchini. Tuzo hiyo imetolwa katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Tehama Tanzania, uliofuguliwa na Waziri Mkuu, katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, leo Oktoba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa Sekta ya TEHAMA wakati akifungua Mkutano wa Tano wa Mwaka wa TEHAMA Tanzania, uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC) jijini Arusha, leo, Oktoba 22, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).