Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati aliposhiriki katika mkutano uliokutanisha wajumbe wa bodi za vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021, Kulia ni Mbunge wa jimbo la Hai Mhe.Saashisha Mafuwe.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akizungumza wakati alipofanya mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawkezaji, Mkutano huo umefanyika kwenye kumbi wa Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro mjini Moshi leo Jumatano Oktoba 06, 2021, Kulia ni Benson Ndiege Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania.
Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akitoa taarifa ya kamati maalum iliyoundwa kufuatilia migogoro hiyo ili kupata utatuzi wake mbele ya Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe.
Jaquline Senzighe Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoani Kilimanjaro akiwa katika kikao hicho na Mkuu wa wilaya Siha Ndg. Thompson Mwan’onda wakati mkutano huo ulipokuwa ukiendelea.
Mmoja wa wanachama wa vyama hivyo vya ushirika Mkoani Kilimanjaro akichangia maoni yake wakati kikao hicho kikiendelea.
Picha mbalimbali zikionesha baadhi ya wanachama na wajumbe wa bodi za vyama vya ushirika mkoani Kilimanjaro wakishiriki Mkutano huo.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akimsikiliza Mbunge wa jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafue katika mkutano uliokutanisha wajumbe wa Vyama vya Ushirika Wilaya za Siha na Hai ili kutatua migogori ya mashamba ya vyama hivyo vya ushirika na wawekezaji, Kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Siha Ndugu Thopson Mwang’onda na katikati ni Benson Ndiege Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Tanzania.