Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
UONGOZI wa Azam FC umewasimamisha wachezaji wake watatu, beki na Nahodha, Aggrey Morris pamoja na Wasaidizi wake, viungo Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na Mudathir Yahya kwa kile kilichoelezwa makosa ya utovu wa nidhamu.