Home LOCAL MWANDISHI MWANDAMIZI KHERI SHAABAN APONGEZWA NA VIONGOZI WA JIJI DAR

MWANDISHI MWANDAMIZI KHERI SHAABAN APONGEZWA NA VIONGOZI WA JIJI DAR


Habari Picha: Kiongozi wa Umoja wa ILALA YETU Kheri Shaaban akipongezwa na  Viongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wakiwemo Madiwani kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Katika hafla hiyo Kheri alisema ataendelea kushirikiana nao pamoja Katika kuisaidia Serikali ,Chama cha Mapinduzi na utekelezaji wa Ilani, Hongereni sana wote mlionipa nguvu katika siku hii muhimu.

“Wana Ilala tushirikiane tumsaidie Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu ” alisema Heri Shaban

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here