Home SPORTS AZAM, PYRAMIDS ZATOSHANA NGUVU

AZAM, PYRAMIDS ZATOSHANA NGUVU

 

Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.

KIKOSI cha Azam FC leo  wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Pyramids katika mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika katika  Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. 

Hata hivyo katika mchezo huo ambao matokeo yamekuwa Sare yanawapa  wakat mgumu Azam.

Hata hivyo kikosi cha Azam kitakuwa ugenini  katika mchezo wa  marudiano Oktoba 23  nchini Misri.

Hata hivyo kikosi cha Azam ambacho kipo chini ya kocha    George Lwandamina ikihitaji ushindi au sare ya mabao ugenini ili kusonga mbele.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here