Home SPORTS YANGA YATUPWA NJE KIMATAIFA

YANGA YATUPWA NJE KIMATAIFA

 
Na: Mwandishi wetu

VIGOGO, Yanga SC wamechapwa 1-0 na wenyeji Rivers United, katika mechi ya marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini Port Harcourt, Nigeria.

Yanga wanaaga mashindano hayo kwa kichapo cha jumla cha 2-0 kufuatia kuchapwa 1-0 Jumapili iliyopita katika mchezo wa kwanza Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here