Home SPORTS YANGA YATUPWA NJE KIMATAIFA

YANGA YATUPWA NJE KIMATAIFA

 
Na: Mwandishi wetu

VIGOGO, Yanga SC wamechapwa 1-0 na wenyeji Rivers United, katika mechi ya marudiano Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika leo Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini Port Harcourt, Nigeria.

Yanga wanaaga mashindano hayo kwa kichapo cha jumla cha 2-0 kufuatia kuchapwa 1-0 Jumapili iliyopita katika mchezo wa kwanza Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Previous articleTAASISI YA FAHARI YATOA MSAADA
Next articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI YA LEO J.TATU SEPTEMBA 20-2021
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here