Home SPORTS SIMBA DAY YANOGA KWA MKAPA.

SIMBA DAY YANOGA KWA MKAPA.

DAR ES SALAAM.

Mabingwa wa Tanzania bara,Simba Leo wanashuka dimbani kuchuana na Tp Mazembe katika tamasha la Simba day katika mchezo utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

Simba Leo wanatambulisha kikosi chao Cha msimu mzima wa ligi kuu pamoja na michuano ya kimataifa.

Katika tamasha Hilo ambalo litakuwa na burudani mbalimbali kwa wasanii mbalimbali ambao ni wapenzi wa timu hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here