Home LOCAL RAIS SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI.

RAIS SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 alipowasili katika Eneo la Uvuvi Bagamoyo kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU

Previous articleRC MAKALA AMEZITAKA TAASISI ZA SERIKALI KUENDELEZA MAENEO YAO
Next articleMHE. GEKUL ATOA UFAFANUZI MASLAHI YA WANAOSHIRIKI VIDEO ZA MUZIKI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here