Home LOCAL RAIS SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI.

RAIS SAMIA AKIWASALIMIA WANANCHI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Bagamoyo Mkoani Pwani leo Sept 02,2021 alipowasili katika Eneo la Uvuvi Bagamoyo kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here