Home LOCAL RAIS MH.SAMIA SULUHU ASALIMIANA NA ANANCHI WA KARATU

RAIS MH.SAMIA SULUHU ASALIMIANA NA ANANCHI WA KARATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mkoani Arusha leo Sept 06,2021 alipokua njiani akielekea Ngorongoro kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here