Home BUSINESS PRF. KITILA ATEUA WAJUMBE WA BODI YA CAMARTEC,

PRF. KITILA ATEUA WAJUMBE WA BODI YA CAMARTEC,


 
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amefanya uteuzi wa wajumbe nane (8) wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (CAMARTEC) ambapo Prof. Valerian Cosmas Silayo aliteuliwa na Mamlaka husika kuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo juni 16 Mwaka huu. 
 
 
 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here