Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU...

MWENYEKITI WA CCM MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Sept,10,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here