Home SPORTS MNADHIMU MKUU JWTZ AMWAGIA SIFA KAPTENI SEMUNYU NA ASKARI WACHEZAJI TAARIFA KUZIFIKISHA...

MNADHIMU MKUU JWTZ AMWAGIA SIFA KAPTENI SEMUNYU NA ASKARI WACHEZAJI TAARIFA KUZIFIKISHA KWA MKUU WA MAJESHI

 

Mwandishi wetu,Dar es Salaam

MNADHIMU Mkuu  wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali Mathew Mkingule   amempongeza afisa Habari wa Klabu ya Gofu ya Lugalo Kapteni Selemani Semunyu pamoja na askari walioibuka na Ushindi katika Mashindano ya  Kombe la Mkuu wa Majeshi.

Hata hivyo na utendaji kazi wa  Kapteni Semunyu kwa kazi ya kuratibu Mambo ya habari ya Jeshi na kuendeleza Michezo ikiwemo Gofu na ngumi.
 

Akinzungumza katika hafla hiyo wapongezwa kwa Mafanikio na Kulitangaza Vyema Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Michezo.

Kauli hiyo aliitoa Jana  Mkingule wakati wa hafla ya ufungaji Mashindano ya Kombe la Mkuu wa Majeshi kwa Mchezo wa Golf.

“Nimpongezea Kapteni Semunyu Kama hamjui umahiri wake ulianza kuonekana akiendesha kipindi Cha Dk 45 ITV na Sasa tunajivunia kuwa na mtu wa aina yake.” Alisema Luteni Jenerali Mkingule.

Alisema wanatambua uwezo wake ndio maana Jeshi likaona umuhimu kuwa nae na Umahiri huo tumekuwa tunauona katika majukumu yake katika kuitangaza JWTZ na nchi kwa Ujumla  kupitia Vyombo vya Habari.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here