

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama viatu wakati alipotembelea banda la kiwanda cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kilichopo eneo la Karanga Moshi kabla ya kufungua Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 7, 2021. Wa pili kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mkanda uliotengenezwa na kiwanda cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kilichopo eneo la Karanga Moshi wakati alipotembelea banda la kiwanda hicho kabla ya kufungua Mkutano wa Wadau Sekta ya Mifugo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Septemba 7, 2021. Wa pili kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).