Home SPORTS KIUNGO WA SIMBA QUEEN ACHAGULIWA KIKOSI BORA CECAFA

KIUNGO WA SIMBA QUEEN ACHAGULIWA KIKOSI BORA CECAFA

 Mwandishi wetu,Dar es Salaam

Kiungo wa timu ya Wanawake ya Simba Queen Danai Bhobho amejumuishwa kwenye kikosi bora Cha Michuano ya CAF Women’s Champion League Ouelifier 2021 iliyomalizika wiki iliyopita nchini Kenya.

Daina  ni mchezaji ambaye Simba imemsajili msimu huu kutoka nchini Zimbabwe Kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ligi ya Wanawake ‘Serengeti lite Women’sPrimier League”.

Hata hivyo kiungo huyo  ni mchezaji pekee ambaye ameingia kwenye kikosi bora cha  mashindano kutokana na ubora aliouonyesha licha ya ugeni wake kikosini.

Katika mashindano hayo yaliyofanyika kwenye viwanja viwili ya nyayo na Kisarani jijini Nairobi pia hivi karibuni kikosi Cha Simba kimemaliza kikiwa nafasi ya nne.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here