Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru akizungumza na waandishi wa habari Leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Kaimu Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Mbarouk Issa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika katika ofisi za HESLB.
Mwakilishi wa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Beatrice Mboya akizungumza na waandihi wa leo jijini Dar es Salaam katika Katika mkutano uliofanyika katika ofsi za HESLB ambapo wametangaza kuongeza muda wa siku 15 kwa waombaji mikopo kuanzia Septemba 1 hadi 15 mwaka huu.