Home LOCAL HABARI PICHA: (HESLB) YA YAONGEZA MUDA HADI SEPTEMBA 15 DIRISHA LA UOMBAJI...

HABARI PICHA: (HESLB) YA YAONGEZA MUDA HADI SEPTEMBA 15 DIRISHA LA UOMBAJI NIKOPO

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Abdul-Razaq Badru akizungumza na waandishi wa habari Leo jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa Kaimu Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Mbarouk Issa akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam katika mkutano uliofanyika katika ofisi za HESLB

Mwakilishi wa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Beatrice Mboya akizungumza na waandihi wa leo jijini Dar es Salaam katika Katika mkutano uliofanyika katika ofsi za HESLB ambapo wametangaza kuongeza muda wa siku 15 kwa waombaji mikopo kuanzia Septemba 1 hadi 15 mwaka huu.

Previous articleBENKI YA EXIM YAZINDUA HUDUMA MPYA YA BIMA
Next articleRC MAKALLA APIGA MARUFUKU UJENGAJI HOLELA WA VIBANDA VYA BIASHARA MASHULENI.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here