Home LOCAL RC ROSEMARY AWAAPISHA WAJUMBE WA BARARA LA NYUMBA NA ARDHI WILAYA YA...

RC ROSEMARY AWAAPISHA WAJUMBE WA BARARA LA NYUMBA NA ARDHI WILAYA YA MBOWE.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

HABARI PICHA: Agosti 23, 2021 Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Rosemary Senyamule amewaapisha Wajumbe wa Baraza la nyumba na ardhi la Wilaya ya Mbogwe na kuwataka kwenda kutenda haki na kujiepusha na vitendo vya rushwa. (PICHA NA: PAUL ZAHORO – GEITA).