Home LOCAL RAIS SAMIA AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI NA WANANCHI KUAGA MWILI WA HAYATI KWANDIKWA

RAIS SAMIA AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI NA WANANCHI KUAGA MWILI WA HAYATI KWANDIKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi mbalimbali na Wananchi kuaga Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa marehemu Elias John Kwandikwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiifariji Familia ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa marehemu Elias John Kwandikwa baada ya kuongoza Viongozi mbalimbali na Wananchi kuaga Mwili wa Hayati Kwandikwa katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 06, Agosti 2021

.PICHA NA IKULU
Previous articleMAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU KWANDIKWA
Next articleSERIKALI KUSITISHA VIBALI VYA UAGIZAJI WA SUKARI IFIKAPO 2022-WAZIRI MKENDA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here