Home LOCAL MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU KWANDIKWA

MAKAMU WA RAIS ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU KWANDIKWA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango na Mkewe Mama Mbonimpawe Mpango wakitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Marehemu Elias Kwandikwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo Agosti 6,2021.

Previous articlePROF KABUDI: SERIKALI KUJENGA MAHAKAMU KUU KATIKA MIKOA TISA
Next articleRAIS SAMIA AWAONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI NA WANANCHI KUAGA MWILI WA HAYATI KWANDIKWA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here