Home LOCAL RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA HICHILEMA NA UHURU...

RAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA HICHILEMA NA UHURU KENYATA WA KENYA MJINI LUSAKA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta walipokutana mjini Lusaka wakati wa sherehe ya uapisho aa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, leo Agosti 24,2021.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here