Home SPORTS HAJI MANARA ATAMBULISHWA RASMI YANGA.

HAJI MANARA ATAMBULISHWA RASMI YANGA.

DAR ES SALAAM.

Msemaji wa Timu ya Simba SC Haji Manara leo Agosti 24, 2021 ametangazwa rasmi kuhamia Timu ya watani wao Yanga SC

Hatua hiyo imefuatia muda mchache baada ya timu ya wekundu wa Msimbazi kumfungia virago msemaji huyo kufuatia tuhuma mbalimbali zilizokuwa zikimkabili.

Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salam Manara amewashukuru viongozi wa timu ya Yanga kwa kumkaribisha na kwamba sasa anakwenda kuwwka amsha amsha za kuwakera mashabiki na wapenzi wa timu take ya zamani.

Previous articleRC MAKALLA AZINDUA MFUMO RASMI WA UKUSANYAJI USHURU WA MAEGESHO KIDIGITAL
Next articleRAIS SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA HICHILEMA NA UHURU KENYATA WA KENYA MJINI LUSAKA, LEO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here