Home LOCAL RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMISAA WA SENSA YA WATU...

RAIS DK. MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMISAA WA SENSA YA WATU NA MAKAZI TANZANIA IKULU, ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa makabrasha  ya Sensa na  Kamisaa wa Sensa  ya Watu na Makazi Tanzania Spika Mstaafu Anne Makinda  baada ya mazungumzo yao alipofika na ujumbe wake Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzoIkulu Jijini Zanzibar, leo.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Makamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi  Tanzania Balozi Mohamed Hamza na (kushoto) Spika Mstaafu Anne Makinda walipofika Ikulu Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar, leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa pamoja na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Anne Makinda  na Mtakimwi Mkuu wa Zanzibar Mayasa Mahfoudh  na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Jamal Kassim Ali na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka Zanzibar.Balozi Mohamed Haji Hamza.(Picha na Ikulu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here