Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI NCHINI RWANDA

MHE. RAIS SAMIA ASHIRIKI CHAKULA CHA JIONI NCHINI RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, wakati wa Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda kwa ajili yake leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitambu cha kumbukumbu alipotembelea Makumbusho ya Hifadhi ya Kimbari Kigali Nchini Rwanda leo Agosti 02,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, wakati wa Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Kagame Mjini Kigali Rwanda kwa ajili yake leo Agosti 02,2021. Mhe. Rais Samia yupo Nchini Rwanda kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili. IKULU.

Previous articleHABARI KUU ZA MAGAZETI YA LEO J.NNE AGOSTI 3-2021
Next articleRUKWA KUPOKEA CHANJO DOZI 20,000 ZA UVIKO-19: DKT. KASULULU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here