Home LOCAL MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI

MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA KATAVI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi katika eneo Rungwa Mpanda, Agosti 27, 2021. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Katavi, Mwananvua Mrindoko.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi katika eneo la Rungwa, Mpanda, Agosti 27, 2021. Wa pili kulia ni Mshauri Mwelekezi wa Mradi kutoka kampuni ya Cristal Contractors, Linda Kasilima.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi eneo la Rungwa, Mpanda, Agosti 27, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwananvua Mrindoko na kulia ni Mshauri Mwelekezi wa Mradi kutoka kampuni ya Cristal Contractors, Linda Kasilima.

Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Mokka wa Katavi ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake Agosti 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleKAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YATEMBELEA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO KIKOMBO DODOMA
Next articleKAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI INAYOSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA ZANZIBAR YAFANYA ZIARA KISARAWE-PWANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here