Home LOCAL WAZIRI NDUGULILE ATEMBELEA BANDA LA TCRA SABASABA.

WAZIRI NDUGULILE ATEMBELEA BANDA LA TCRA SABASABA.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk.Faustine Ndugulile akizungumza na waandishi wa habari Katika Banda la TCRA katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea kufanyika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

 

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk.Faustine Ndugulile akizungumza kuhusiana na uhakiki wa laini za simu za mkononi wakati alipotembelea Banda la TCRA maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk.Faustine Ndugulile akikabidhiwa mfuko wenye machapisho mbalimbali kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Lucy Mbogoro wakati Waziri huyo alipotembelea Banda la TCRA katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayoendelea kufanyika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here