Home LOCAL RAIS SAMIA AHUTUBIA JUKWAA LA WAFANYA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA BURUNDI

RAIS SAMIA AHUTUBIA JUKWAA LA WAFANYA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA BURUNDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi uliofanyika leo Julai 17,2021 Jijini Bujumbura Nchini Burundi. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakipokea heshima ya wimbo wa Taifa walipowasili katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura kwa ajili ya kuhutubia katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakishuhudia utiaji saini hati ya makubaliano kuhusu baadhi ya mambo ya utekelezaji kati ya Tanzania na Burundi iliyofanyika leo Julai 17,2021 katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakiangalia moja ya ngoma ya asili ya Burundi walipowasili katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura kwa ajili ya kushiriki katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakiingia katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhutubia katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

 

 PICHA NA IKULU
Previous articleDKT. GWAJIMA AKUTANA NA UONGOZI WA MOI
Next articleMAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA HALMASHAURI KASULU NA KUWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA KABANGA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here