Home LOCAL MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA HALMASHAURI KASULU NA KUWEKA JIWE LA...

MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA HALMASHAURI KASULU NA KUWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA KABANGA

 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Kasulu – Kigoma Julai 17, 2021.

 


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kasulu waliojitokeza kumsikiliza wakati wa uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoa wa Kigoma, Julai 17, 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Kabanga kilichopo wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma, Julai 17, 2021.

 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kasulu waliojitokeza kumsikiliza wakati wa uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Kabanga kilichopo wilaya ya Kasulu Mkoa wa Kigoma, Julai 17, 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Canada Nchini Tanzania Pamella O’ Donell mara baada ya uwekaji Jiwe la msingi ujenzi wa majengo mapya Chuo cha Ualimu Kabanga Julai 17, 2021.Previous articleRAIS SAMIA AHUTUBIA JUKWAA LA WAFANYA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA BURUNDI
Next articleTCRA NA UCSAF WAPEWA MWEZI MMOJA KUJA NA MAPENDEKEZO KUTATUA CHANGAMOTO ZA MWINGILIANO WA MAWASILIANO MIPAKANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here