Home BUSINESS PURA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI NA WADAU MAONESHO YA SABASABA.

PURA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI NA WADAU MAONESHO YA SABASABA.

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) Janneth Mesomapya (aliyesimama) Akizungumza na moja ya mwananchi aliyetembelea kwenye Banda la Taasisi hiyo kujifunza na kujionea shughuli zinazotekelezwa na Mamlaka hiyo.

DA ES SALAAM.

Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petrol (PURA) imeendelea kutoa Elimu kwa wadau na wananchi mbalimbali wanaofika kwenye Banda lao katika Maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) kujifunza na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mamlaka hiyo.

PURA wapo kwenye maonesho hayo ndani ya Ukumbi wa Karume wakishabihiana na EWURA ambapo kwa siku zote za maonesho wanaendelea kutoa Elimu kwa wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here