Home BUSINESS MKURUGENZI MTENDAJI NIC APOKEA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA WATOA HUDUMA BORA...

MKURUGENZI MTENDAJI NIC APOKEA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA WATOA HUDUMA BORA ZA BIMA

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye akionesha tuzo alizopokea kwa niaba ya Shirika hilo kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Suleiman Hemed Abdulla wakati wa kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye akipokea tuzo ya Mshindi wa kwanza ya Watoa huduma Bora za Bima kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe.Suleiman Hemed Abdulla wakati wa kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Dkt. Elirehema Doriye katikati akiwa na baadhi ya Watumishi wa Shrika hilo mara baada ya kukabidhiwa tuzo kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla wakati wa kufunga Maonesho ya 45 ya Biashara Sabasaba jijini Dar es salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here