Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU...

MHE. RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi  mbalimbali waliojitokeza kumpokea alipowasili katika Eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili leo Julai 07,2021. Picha na Ikulu.