Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU...

MHE. RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi  mbalimbali waliojitokeza kumpokea alipowasili katika Eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili leo Julai 07,2021. Picha na Ikulu.

Previous articleWATANZANIA WATAKIWA KUTEMBELEA 77 KUONA MRADI WA JNHPP
Next articleKAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA,ULINZI NA USALAMA YA SADC YAKUTANA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here