Home SPORTS MHE. RAIS SAMIA ASHUHUDIA MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA...

MHE. RAIS SAMIA ASHUHUDIA MECHI YA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA DIMBA LA MKAPA DAR.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga unaoendelea katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam leo Julai 03,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiingia Uwasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Julai 03,2021 kwa ajili kuangalia Mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu TFF Wallace Karia, alipowasili katika Uwanja wa Benjamin Mkapa leo Julai 03,2021 kwa ajili kuangalia Mpambano kati ya Watani wa Jadi Simba na Yanga.

Previous articleSIMBA YASHINDWA KUTAMBA MBELE YA YANGA, YAPIGWA 1-0 DIMBA LA MKAPA DAR.
Next articleSTAMICO YAJA NA BIDHAA MPYA YA MKAA WA MAJUMBANI UNAOTOKANA NA MABAKI YA MAKAA YA MAWE.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here