Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AONGOZA KUAGA MWILI WA MHANDISI MFUGALE

MHE. RAIS SAMIA AONGOZA KUAGA MWILI WA MHANDISI MFUGALE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa Heshima za mwisho katika Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa salam za Serikali kwenye Hafla ya  kuaga mwili wa aliyekuwa  Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiifariji Familia ya aliyekuwa  Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale, baada ya kuwaongoza kuaga mwili wa Mhandisi huyo katika viwanja wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021. (Picha na Ikulu)

Previous articleNAIBU WAZIRI MABULA APONGEZA UBUNIFU WA WAJASIRIAMALI, ATEMBELEA BANDA LA TOBI PRODUCTS SABASABA
Next articleMAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MKURUGENZI WA AFD (PICHA)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here