Home SPORTS KOCHA WA YANGA NASREDDINE NABI ATWAA TUZO YA KOCHA BORA YA MWEZI...

KOCHA WA YANGA NASREDDINE NABI ATWAA TUZO YA KOCHA BORA YA MWEZI JULAI

Kocha Mkuu wa Yanga  Nasreddine Nabi ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu kwa mwezi wa mwisho wa msimu, Julai baada ya kuwashinda Mfaransa Didier Gomes wa Simba na Mganda, Mathias Lulle wa Mbeya City.
Nabi aliiongoza Yanga kushinda mechi mbili kati ya tatu ilizocheza mwezi huo, 1-0 dhidi ya mabingwa, Simba na 2-0 dhidi ya Ihefu huku mwingine ikitoa sare ya 0-0 na Dodoma Jiji FC.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here