Home LOCAL BALOZI LIBERATA MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA PAKISTAN NCHINI

BALOZI LIBERATA MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA PAKISTAN NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo leo Tarehe 19.07.2021 Ubalozi wa Pakistan hapa nchini kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Pakistan Hayati Mamnoon Hussain aliyefariki Julai 14, 2021.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here