Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
 |
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, akionesha Mkoba wenye Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022, Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021. |
 |
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, akitoa Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 kwenye mkoba kabla ya kusoma hotuba hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021.
|
 |
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, akisoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022, Bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |