Home LOCAL RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA AfDB DKT.ADESINA

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA AfDB DKT.ADESINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu masuala mbalimbali ya Kimaendeleo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Adesina Akinwumi ambaye alikuwa akizungumza kutokea Makao Makuu ya Benki hiyo Abidjan nchi Ivory Coast leo tarehe 11 Juni, 2021.

 

Previous articleBENKI YA AKIBA YASHIRIKI KATIKA UCHANGIAJI WA DAMU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Next articleKUTOKA MEZA YA MAGAZETI ASUBUHI HII LEO J.MOSI JUNI 12-2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here