Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe Omary Kumbilamoto mefanya ziara ya kikazi kukagua ujenzi wa Tank la Maji lenye uwezo wa kubeba Lita Milioni 1 kwaajili ya Matumizi ya Machinjio ya Kisasa Vingunguti.