Home SPORTS MATOKEO YA MICHEZO MBALIMBALI ILIOYOCHEZWA KATIKA MASHINDANO YA UMISSETA LEO JUNI 22,...

MATOKEO YA MICHEZO MBALIMBALI ILIOYOCHEZWA KATIKA MASHINDANO YA UMISSETA LEO JUNI 22, 2021

Nahodha wa timu ya soka ya mkoa wa Dar es salaam Ahmad Said (jezi nyeupe) akichungwa kwa karibu na beki mahiri wa kigoma (jezi nyekundu) Ally Kassim wakati timu zao zilipopambana leo katika mojawapo ya mechi za ufunguzi wa michuano ya UMISSETA iliyofanyika katika Uwanja wa Chuo cha Ualimu Mtwara.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya mkoa wa Tanga Bakari Juma akijiandaa kufunga huku wachezaji wa Unguja wakiongozwa na mchezaji Ahmed Omari (jezi namba 5 ya bluu) katika mchezo mkali ambapo Unguja waliifunga Tanga vikapu 48-30

MPIRA WA WAVU

WAVULANA.

RUVUMA 0 VS SINGIDA 3.

SHY 2 VS MTWARA 3.

LINDI 3 VS KAGERA 1.

SIMIYU 3 VS PEMBA 0.

MORO 1 VS NJOMBE 3.

DAR 3 VS IRINGA 0.

GEITA 3 VS KATAVI 1.

WASICHANA.

MTWARA 3 VS RUVUMA 0.

PEMBA 0 VS MORO 3.

DAR 3 VS KIGOMA 0

KIKAPU 

WAVULANA

1.Njombe Vs Shinyanga – (14)-(103)

2.Rukwa Vs Kigoma – (30) -(17)

3.kilimanjaro Vs Tabora -(24) -(27)

WASICHANA

1.kilimanjaro Vs Simiyu- (58)-(02)

2.Mtwara Vs Dar es salaam- (08)-(93)

3.Mwanza Vs Ruvuma -(43)-(16)

Imeandaliwa na John Mapepele, Msemaji wa UMISSETA 2021

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here