Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AWATAKA WATUMISHI WA MSD KUWA WAADILIFU NA...

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AWATAKA WATUMISHI WA MSD KUWA WAADILIFU NA KUACHA KUFANYA BIASHARA YA DAWA KWA MANUFAA YAO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika kiwanda cha dawa kinachomilikiwa na Bohari ya Dawa MSD kilichopo Keko Dar es salaam ili kujionea namna kiwanda hicho kinavyofanya kazi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea maelezo ya namna mashine za kutengeneza dawa zinavyofanya kazi wakati alipotembelea kiwanda cha MSD kinachotengeneza dawa kilichopo Keko Dar es salaam.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akitembelea ghala la kuhifadhia dawa lililopo Makao makuu ya Bohari ya Dawa MSD Keko Dar es Salaam, kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi wa Ugavi Billy Sengano pamoja na kulia kwake ni Mganga Mkuu wa serikali Dkt. Aifello Sichwale.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na watumishi wa Bohari ya Dawa mara baada ya kutembelea ghala la kuhifadhi dawa lililopo makao Makuu ya MSD Keko Dar es salaam


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na menejimenti ya Bohari ya dawa wakati alipotembelea Makao makuu ya Bohari ya dawa keko – Dar es salaam.


Previous articleRC MAKALLA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA.
Next articleRC MAKALLA AWATAKA WEZI WA MAFUTA KUJISALIMISHA MARA MOJA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here