Home LOCAL KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU...

KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI, LEO

 

Dodoma, leo

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo Juni 10, amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu  wa  Chama Tawala  Cha Burundi cha CNDD-FDD Reverien Ndikuriyo, katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.

Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali, kama tulovyozipata👇

Credit – Blog ya Taifa ya CCM.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here