Home LOCAL RAIS WA BOTSWANA DK. MOKGWEESTSI KEABETSWE MASISI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM,...

RAIS WA BOTSWANA DK. MOKGWEESTSI KEABETSWE MASISI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM, KUANZA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Liberata Mulamula, akimtambulisha kwa viongozi mbalimbali Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Masisi amewasili nchini kwa ajili ya ziara ys kikazi ya siku mbili kufuatia mwaliko wa mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Liberata Mulamula, akiendelea kumtambulisha kwa viongozi mbalimbali Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashari Liberata Mulamula, akizungumza  na Rais wa Botswana Dk. Mokgweetsi Keabetwe Masisi, baada ya kumpokea kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Blog ya Taifa ya CCM)
Previous articleMAJALIWA AWAOMBA WAKURUGENZI WOTE NCHINI KUANZISHA MADARASA YA MEMKWA
Next articleKATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA CHAMA CHA CNDD-FDD CHA BURUNDI, LEO

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here