Home LOCAL DKT.GWAJIMA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE

DKT.GWAJIMA AKUTANA NA WATUMISHI WA WIZARA YAKE

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima leo amekutana na watumishi wa Wizara yake na kusikiliza changamoto zinazowakabili ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.

Mkutano huo unafanyika Kwenye viwanja vya ofisi za wizara zilizopo mji wa Serikali Mtumba
Previous articleMUFTI ZUBERI AWATAKA WATANZANIA WASICHAFUE HALI YA HEWA
Next articleUTEUZI:RAIS SAMIA ATEUA WENYEVITI WANNE WA BODI ZA WAKURUGENZI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here