Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATOWA MKONO WA EID EL...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI ATOWA MKONO WA EID EL FITRY KWA WANANCHI WALIOFIKA IKULU JIJINI ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na baadhi ya Masheikh waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia, baada ya kutoka katika Sala ya Eid El Fitry, iliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kupokea mkono wa Eid El fitry.(Picha na Ikulu) 

Previous articleWAKILI MADELEKA: SERIKALI IENDELEE KUWATAFUTA WAHUSIKA WA VIZA ZA KUGHUSHI.
Next articleMADIWANI HALMASHAURI YA JIJID DAR WALIA NA TARURA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here