Home LOCAL RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI EARISTE NDAYISHIME.

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS WA BURUNDI EARISTE NDAYISHIME.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisoma Ujumbe katika barua iliyotoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye uliowasilishwa kwake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 202i.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira Waziri anayeshughulikia Masuala ya Afrika Mashariki, Vijana, Michezo na Utamaduni wa Burundi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya kumbukumbu na Mgeni wake Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye, Balozi Ezechiel Nibigira watatu kutoka kushoto, wakwanza kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, pamoja na viongozi wengine kutoka Serikali ya Burundi pamoja na Ubalozini kwao hapa nchini. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana Mgeni wake, Balozi Ezechiel Nibigira Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Mei, 2021


Previous articleSERIKALI YAPOKEA MAONI YA WADAU KUBORESHA SEKTA NDOGO YA UTANGAZAJI – DKT. YONAZI.
Next articleKATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AANZA DODOMA ZIARA YA KUJITAMBULISHA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here