Home SPORTS RAIS DK. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA MCHEZAJI MAMADOU WA CRYSTAL PALACE YA...

RAIS DK. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA MCHEZAJI MAMADOU WA CRYSTAL PALACE YA UINGEREZA, IKULU, ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Soka ya Crystal Palace ya Uingereza, Mamadou Sakho, Ikulu jijini Zanzibar, leo. Kushoto ni mke wa mchezaji huyo Majda Sakho.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya ngao ya mlango wa Kizanzibar, mgeni wake Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho akiwa na mkewe Majda Sakho, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu jijini Zanzibar, (Picha zote na Ikulu)

Previous articleHOSPITALI YA MIRACOLO SEGEREA WAPIMA AFYA BURE.
Next articleCARLINHOS ALIVYOTIMKA JANGWANI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here