Home SPORTS CARLINHOS ALIVYOTIMKA JANGWANI

CARLINHOS ALIVYOTIMKA JANGWANI

 

DAR ES SALAAM.

KLABU ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam imemeachana na kiungo wake Muangola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo, maarufu kama Carlinhos kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya karibu msimu mzima wa kuwa Jangwani. 

Carlinhos hakuwa na msimu mzuri Jangwani tangu asajiliwe Julai mwaka jana kutokana kuandamwa na majeruhi.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here