Home BUSINESS BRELA YAALIKWA BUNGENI KUSHUHUDIA BAJETI YA WIZARA YAO IKISOMWA.

BRELA YAALIKWA BUNGENI KUSHUHUDIA BAJETI YA WIZARA YAO IKISOMWA.

Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa(katikati), akifuatilia kwa karibu Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara, Wakati Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Prof. Kitila  Mkumbo(Mb)  alipowasilisha Bungeni Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2021/2021 mapema jana jijini Dodoma.
Watendaji  Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara, wakitambulishwa bungeni, kabla ya kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara  mwishoni mwa wiki jijini Dodoma.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) wa nne kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo, mara baada Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitisha Bajeti ya Wizara hiyo mwishoni mwa wiki.Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Doto James na kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Exaud Kigahe (Mb).

Previous articleRAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MABALOZI.
Next articleWAKULIMA 40,000 KUNUFAIKA NA UPIMAJI WA UDONGO NA MAFUNZO YA KILIMO CHENYE TIJA.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here